Rais Lebanon Aapa Kumpata Aliyeilipua Beirut
SALAMU za rambi rambi kwa watu wa Lebanon zimetumwa kutoka sehemu mbalimbali duniani, akiwemo jirani yaake, Israel, ambaye amesema haraka kwamba hahusiki na mlipuko huo.
Rais wa Lebanon, Michel Aoun, ametoa wito kwa…
