Michoro ya Trump na Mkewe Yaelekea White House
WATU na vipaji vyao bwana! Huku akiwa amefikisha miezi saba tangu alipoingia katika ikulu ya Marekani 'White House' hatimaye mchoro wa kwanza kabisa kuchorwa unayomuonyesha Rais Donald Trump akiwa oval 'ofisi ya rais' na mchoro wa mke…
