Updates: Msiba wa Ankal Issa Michuzi
Assalaam aleikum,
Familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini.
Taarifa ya sasa ni kwamba, Ndugu zetu kule Durban…
