BREAKING: Makamba Afanya Msako wa ‘Rambo’ Mitaani – Video
JUMAMOSI ya leo Juni Mosi ni siku ambayo marufuku ya kutumia mifuko ya plastiki maarufu kama mifuko ya rambo inaanza nchi nzima.
Serikali imeitangaza kuanza kutumika kwa mifuko mbadala nchini ambapo wa Waziri wa Nchi, Ofisi…
