Maajabu ya Mwanamke Aliyezaliwa na Miguu Minne
JOSEPHINE MYRTLE CORBIN, mrembo kutoka Jimbo la Texas, Marekani, alizaliwa siku ya Mei 12, 1868 akiwa na miguu minne.
Pamoja na kuzaliwa katika hali hiyo isiyo ya kawaida, madaktari walimchunguza na kumwona akiwa na afya na nguvu za…
