Faili la Fiston, Metacha Mikononi Mwa Migne
UONGOZI wa Yanga, umepanga kumkabidhi Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, Mfaransa Sebastien Migne faili la wachezaji wote wanaotarajiwa kumaliza mikataba yao haraka mara baada ya kutua nchini.
Kocha huyo muda na siku yoyote…
