Wakili Miguna Miguna ‘Aliyefukuzwa’ Nchini Mwake Hatimaye Arejea Tena Kenya
Wakili Miguna Miguna, ambaye alifurushwa kutoka nchini Kenya tangu mwaka 2018, amewasili jijini Nairobi.
Dkt Miguna amewasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Kenyatta kwa ndege ya Shirika la Ndege la Kenya.
…
