IJUE MIJI 3 YA AJABU CHINI YA BAHARI UNAYOPASWA KUITEMBELEA
Lion City – Qiandao Lake, China
Mji huo ulifurikishwa maji kwa makusudi mwaka 1959 ili kujenga ziwa na kituo cha umeme kinachotumia nguvu za maji. Lion City (uliochukua jina la Lion Mountains) ulikuwa kituo cha kisiasa na kiuchumi…
