Mmiliki Mwenza wa Jamii Media Aunganishwa Kwenye Kesi, Apandishwa Kizimbani
DAR ES SALAAM: Mmiliki mwenza wa kampuni ya Jamii Media, Mike Mushi amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kuunganishwa katika mashtaka yaleyale yanayomkabili mkurugenzi wa kampuni hiyo, Maxence Melo.
Washtakiwa wote wawili…
