NICKI MINAJ & LIL WAYNE… KWA MARA NYINGINE TENA! (PICHA)
Rapa wa kike Nicki Minaj amemvuta Young Money Boss ‘Lil Wayne’ kwa ajili ya kuandaa remix ya mdundo uliofikia mauzo ya Platinum (nakala zaidi ya milioni moja) wa ‘Good Form’ ambao ni wimbo wa 12 kwenye albam yake ya Queen.
…
