KUELEKEA DROO KUBWA… SHINDA NYUMBA SASA GUMZO KILA KONA
WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikatika kwa kasi, macho yote ya wasomaji wa magazeti ya Global Publishers yameelekezwa kwenye zawadi hiyo kubwa ya nyumba.…
