MJANE ATUPIWA VIRAGO, AMWANGUKIA MAGUFULI NA MAKONDA
MJANE aliyejitambilisha kwa jina la Editha Wambura mkazi wa Mikocheni-Viwandani, Dar es Salaam, ambaye amedai alikuwa mmiliki wa Klabu ya Msasani kabla ya kudhulumiwa na ndugu, amemwangukia Rais John Magufuli na Mkuu…
