“NANDY Nishafanya Nae / Hawajui / ROSTAM tumetoka Mbali” – JAY MELODY –…
Najua Ngoma kama Goroka, Mikogo Sio, Namwaga Mboga, sio nyimbo ngeni masikioni mwako kwani ni nyimbo zilizotokea kupendwa sana na kuwa Hits Song kwa muda mrefu, lakini swali ni je unamjua aliyeimba nyimbo hizo?
Asilimia kubwa ya…
