Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti Ugonjwa wa Covid 19.
RC Gabriel amesema mikusanyiko itakayoruhusiwa ni…
