Wanafunzi Watekwa, Basi Lao Lachomwa Moto
BASI lililokuwa limebeba watoto wa shule wapatao 51 lilitekwa na kutiwa moto karibu na jiji la Milan nchini Italia.
Watoto hao wa shule, ambao baadhi yao walifungwa kamba, waliokolewa baada ya kuvunjwa vioo vya…
