Kocha Yanga Aitamani Rekodi ya Simba Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
KOCHA wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov, ameweka wazi kuwa, ndoto yake ni kuona anafikia rekodi aliyoiweka akiwa na Simba ya kufika angalau robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Mbrazili…
