Hili la mawaziri, miluzi isimpoteze Rais Magufuli!
RAIS John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza Baraza lake la Mawaziri muda wowote kuanzia wiki ijayo, atakapokuwa ameshamtangaza Waziri Mkuu, kisha kuthibitishwa na Bunge mjini Dodoma.
Mamilioni ya Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa…
