Achana na Tozo ya Miamala, Tozo Mpya ya Laini za Simu Kuanza Agosti
WAKATI kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi.
…
