Klopp: Minamino Yupo Tayari Kupiga Kazi
KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amemsifu mchezaji wake mpya aliyemsajili hivi karibuni, Takumi Minamino na anaamini staa huyo Mjapan yupo tayari kuanza kuonyesha makali yake mapema kwa timu hiyo inayowania ubingwa wa Premier.…
