DC Ilala Atoa Siku 30 Bure Kufanya Biashara Soko la Minazi Mirefu
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija amefanya ziara katika Soko la Minazi Mirefu katika Ziara hiyo aliatambatana na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Omary Kumbilamoto pamoja na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaaam…
