Kocha Mbelgiji: Nipeni Simba Muone Mambo
IVAN Jacky Minnaert raia wa Ubelgiji ni mmoja kati ya makocha waliofanya mazungumzo na uongozi wa Simba kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji.
Simba ipo katika mchakato mzito wa kuhakikisha…
