Pengo Aongoza Misa Ya Krismasi Parokia Ya Mama Maria Mwokozi Sinza
MWADHAMA Kadinali Polycarp Pengo, Jumatano ya leo ameongoza ibada ya misa katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini Dar na kusisitiza kuwa amani ya kweli inatoka kwa Mungu kupitia mwanaye Yesu Kristo.…
