Aisha Masaka; Mtambo wa Mabao wa Tanzanite Queens Unaowesumbua Cosafa
JINA la Aisha Khamisi Masaka limekuwa likijijengea umaarufu kadiri siku zinavyozidi kusogea kunako ramani ya soka la wanawake Tanzania na Afrika. Ana miaka 17 uwezo wake upo katika kuzifumania nyavu kwenye kila mchezo anaocheza akiwa na…
