Wabunge Kulipwa Mishahara Mikubwa DRC Congo Yazua Taharuki
WABUNGE wa DRC Congo wamezua taharuki kwa wananchi wao kwa kulipwa mishahara mikubwa karibuni dola 21,000 kwa mwezi bila kujali kuwa kongo ni moja kati ya nchi masikini zaidi duniani,kitendo hicho kimeibua hasira kwa wananchi wa Congo…
