Mastaa Hawa Wamekwepa Mishale Mingi!
KWENYE uwanda wa burudani Bongo hii, kumekuwa na wimbi la wasanii wengi na wanaofanya vizuri.
Miaka ya nyuma waliibuka wasanii wakali katika Hip Hop na Bongo Fleva.
Wasanii hao walitikisa vilivyo kwa kutoa kazi ambazo…
