OFM Yanasa Misosi Ikiuzwa Kiholela Dar
Mishikaki na ndizi za kuchoma vikiuzwa kihohela
Deogratius Mongela na Mayasa Mariwata
LICHA ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu (pichani juu) kukemea uuzwaji holela wa vyakula na matunda…
