Bwana Misosi: Harmonize Hawezi Kunilipa – Video
MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Bwana Misosi, amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi zao bila hata ya kuwadai pesa kwa sababu hawana uwezo wa kumlipa.
Misosi amesema beat la wimbo wake…
