SIMBA WAKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI
Kikosi cha Simba Sc ya jijini Dar na viongozi wa timu hiyo, jana walipata fursa ya kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Misri, Issa Nassor, nyumbani kwake nchini humo na kufanya mazungumzo mafupi.
Simba walialikwa na Balozi huyo…
