Miss Brazil Afariki Dunia Akifanyiwa Upasuaji Kutoa Mafindofindo, Apata Kiharusi
Gleycy Correia; ni aliyekuwa Miss Brazil mwaka 2018 ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 baada kufanyiwa upasuaji (sajari) kutoa mafindofindo.
Kwa mujibu wa vyombo vingi vya habari vya kimataifa,…
