Warembo Miss Tabata 2016 Watembelea Global, Kukwaana Leo
WAREMBO wanaowania taji la Miss Tabata 2016 jana walitembelea ofisi za Global Publishers wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Uwazi, Ijumaa, Amani, Ijumaa Wikienda, Risasi pamoja na tovuti hii…
