Miss Tanzania 2020 Watikisa Global Publishers
TIMU ya warembo 20 wanaowania taji la Miss Tanzania 2020 leo Novemba 30 lilifanya ziara katika jengo la Global Group lililopo Sinza Mori jijini Dar na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Global Publishers katika…
