Miss Universe Tanzania Yarudi Kwa Kishindo
BAADA ya kimya cha mwaka mmoja, kampuni ya Compass Communication imeandaa tena mwaka huu, shindano la Miss Universe Tanzania.
Baada ya kufanya usaili na warembo takriban 90 kutoka mikoa tofauti nchini, shindano hili la…
