Watumishi Sita Missenyi Matatani Kwa Ubadhirifu, Majaliwa Atoa Tamko – Video
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi wafuatiliwe ili warejeshe fedha za umma na kisha wachukuliwe hatua za kinidhamu.
“Uongozi wa Mkoa uendelee kuwafuatilia na kuisimamia…
