Kimbunga Chaua 23 Usiku wa Kuamkia leo Mississippi Marekani
Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya kimbunga kukumba jimbo la Mississippi nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Watu zaidi wanadhaniwa wamenaswa chini ya vifusi vya majengo yaliyoharibiwa.
Kimbunga hicho kilisababisha…
