WAKUZA MISULI KWA KUJIDUNGA MADAWA HATARI
NDUGU wawili wa kiume, Tony ‘Hulk’ Geraldo (49) na Alvaro ‘Conan’ Pereira (50) wa Brazil wamekuwa wakijidunga madawa hatari ya Potenay B12 ili kunepesha misuli ya mikono tangu walipokuwa…
