Afariki kwa Kugongelewa Misumari Kichwani na Bosi Wake
MWANAMME mmoja, Robert Muchangi aliyepigiliwa misumari miwili kichwani na bosi wake nchini Kenya amefariki dunia jana Juni 22 katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta kutokana na maumivu makali na damu kuvujilia ndani ya…
