Kitwanga Awavaa Makonda, Gwajima
Stori: Sifael Paul | UWAZI | DAR ES SALAAM
Figisufisu na ugomvi kati ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (GCTC), Josephat Mathias Gwajima, zimepamba moto na joto…
