Walimu Watano Mbaroni kwa Kuvujisha Mitihani
WATU sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika na njama za kuvujisha mtihani wa kuhitimu elimu ya Msingi uliofanyika hivi karibu.
Miongoni mwa watuhumiwa hao ni walimu watano na mlinzi mmoja…
