Mapedeshee, miye siyo ‘maharage ya Mbeya’ – Mariam
Na Hamida Hassan
Staa wa filamu ya ‘Best Man’, Mariam Ismail ameibuka na kusema kuwa utulivu wake ndiyo unamfanya awe na staha ya usanii mpaka leo na angalizo kwa mapeshee ni kwamba, yeye siyo maharage ya Mbeya (siyo rahisi kuingilika).…
