GNM Cargo Inavyorahisisha Safari za China kwa Wafanyabiashara
KAMA wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo, bila shaka ndoto zako ni kwenda kuagiza mzigo nje ya nchi, hususan nchini China ambako bidhaa nyingi hupatikana kwa bei nafuu lakini kinachowatatiza wengi, nikwamba hawajui wapi pa kuanzia.…
