NEW Music: Itazame ‘Tucheze’ Video Mpya Ya Muimbaji Akothee Kutoka Kenya
Wiki hii kwenye shavu la midundo ninayo mpya kabisa kutoka kwa Akothee. Safari hii anataka wote tuinuke na 'Tucheze'.
Muimbaji wa Kenya, Akothee ameachia kichupa cha wimbo wake mpya 'Tucheze' na kuwasihi mashabiki wake kuburudika na…
