Mjane wa Mtikila Avaa Viatu vya Mumewe, Asisitiza Mumewe Kauawa, Ataja Sababu
Elvan Stambuli na Sifael Paul | Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016
TUNAWEZA kusema ni mpiganaji wa kike, anayetetea wanyonge, huyu si mwingine ila ni aliyekuwa mke wa marehemu Mchungaji Christopher Reuben Mtikila aliyefariki…
