Harmonize na Mkapa Walivyoiheshimisha Mtwara
Kama ilivyo kawaida kwa Wasanii kuzitangaza na kubrand sehemu walikozaliwa, Harmonize pia amefanikiwa sana Kuibrand Mtwara na mikoa ya Kusini kwa ujumla.
Zamani kabla ya "The Rise Of Harmonize as a Super Musician" pande za Kusini,…
