Washindi Sita wa M-Bet Wajichotea Milioni 195/=
JUMLA ya washindi sita wa mchezo wa kubahatisha wameshinda kitita cha Sh milioni 26.7 kila mmoja baada ya kufanikiwa kubashiri timu 12 (Perfect 12) katika bahati nasibu ya kampuni ya M-Bet.
Washidi hao ni Satale…
