Mke ashushiwa kipondo kisa ‘selfie’
NJEMBA moja iliyojulikana kwa jina la Pascal ililazimika kumshushia kipondo hevi mkewe baada ya kurudi nyumbani kwake ghafla na kumkuta akijipiga picha ‘selfie’ chumbani na kujisahau kama alikuwa akipika.
Tukio hilo lililokusanya majirani…
