Mume: Mke Wangu Amedai Mimi Siyo wa ‘Type Yake’, Amesepa (VIDEO)
Mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Samson Segeli, amefunguka ya moyoni jinsi mkewe, Ester Gaspari alivyomkataa baada ya kuishi naye kwa miaka mingi na kuhangaika kumsomesha mpaka alipopata kazi ya ualimu wa shule ya…
