Aunt, mke wa Iyobo wapatana
Mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa na mke wa Iyobo.
Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI
DAR ES SALAAM: Yamekwisha! Baada ya kudumu ndani ya bifu kwa muda mrefu huku wakituhumiana uchawi, hatimaye mwigizaji Aunt Ezekiel na mzazi mwenzie na Moses…
