MAHAKAMANI AKIDAIWA KUKUTWA NA ‘NYETI ZA MWANAMKE’ (VIDEO)
SALUM NKONJA (22) mkazi wa Ipililo wilayani Maswa mkoani Shinyanga leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na tuhuma za kumuua mtu asiyejulikana.
Tetesi za kesi hiyo zinasema kijana huyo…
