Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online
#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.
Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.
Usikose…
