Mkesha wa Krismasi Leo, Jahazi Kuwasha ‘Moto’ Dar Live
BAADA ya kusubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye imefika ambapo leo (Mkesha wa Krismasi) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutakuwa na bonge la shoo litakalowahusisha Kundi la Muziki wa Taarab,…
